Najivunia Kuwa Mkenya

This post is dedicated to all the Kenyan athletes representing us in the 2012 Olympic Games. Tuko Pamoja! 🙂

 

Naishi, Natumaini,
Najitolea daima Kenya,
Hakika ya bendera,
Ni uthabiti wangu,
Nyeusi ya wananchi na nyekundu ni ya damu
Kijani ni ya ardhi, nyeupe ya amani,
Daima mimi mkenya,
Mwananchi mzalendo.
I live, I hope, I give myself for Kenya,
The certainty of the flag is my steadfast support,
The black is the people, the red is the blood,
The green is the soil,
The white is peace,
Forever I am a Kenyan,
A patriotic citizen 

Written by

2 Comments

LEAVE A COMMENT